Aucho, Mzize waongeza idadi ya majeruhi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Nov 2024
Aucho, Mzize waongeza idadi ya majeruhi

Kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Clement Mzize huenda wakaukosa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal utakaopigwa keshokutwa Jumanne Novemba 26 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amethibitisha kuwa wachezaji hao walipata majeraha walipokuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa

"Aucho hakuweza kushiriki mazoezi leo (jana) kwa sababu alipata changamoto alipokuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa. Hata Mzize hamkumuona hapa kwa sababu nae alipata jeraha akiwa katika timu ya Taifa"

"Tunasubiri taarifa ya daktari kubaini aina ya majeraha, kuona kama tunawakosa na kwa muda gani," alisema Kamwe

Wachezaji hao wanaungana na Chadrack Boka na Aziz Andambwile ambao wanaendelea kuimarika wakikosekana kwa takribani wiki mbili sasa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’