Klabu ya Yanga imeungana na familia na watanzania wote katika maombolezo ya kifo cha Dk Faustine Ndugulile Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika kilichotokea nchini India leo tarehe 27 Novemba 2024

ADVERTISE HERE