Matchday ; Namungo Fc vs Yanga, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Nov 2024
Matchday ; Namungo Fc vs Yanga, NBC PL

Mabingwa watetezi ligi kuu ya NBC, Yanga leo wanashuka tena uwanjani wakimenyana na Namungo Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Majaliwa, Ruangwa

Mechi muhimu kwa Yanga kuzisaka alama tatu ili kurejesha matumaini baada ya mfululizo wa matokeo mabaya

Yanga imecheza dakika 270 bila kupata alama yoyote ikiruhusu mabao 6 na kufunga bao moja pekee

Sio aina ya matokeo ambayo mashabiki wa Yanga wamezoea kuyaona, pengine hiyo ndio sababu ya kufanya mchezo wa leo uwe kama fainali

Vijana wa kocha Sead Ramovic walitua Ruangwa juzi ambapo jana kikosi kilikamilisha maandalizi katika dimba la Majaliwa

Mchezo unatarajiwa kupigwa saa 12:30 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’