Kikosi cha Yanga kilirejea jijini Dar es salaam jana usiku wakitokea Ruangwa ambako juzi walipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc
Yanga sasa inaelekeza nguvu zake katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 07 huko Algeria





ADVERTISE HERE