Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa raundi ya pili hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya MC Alger
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Disemba 07 dimba la Julai 05 huko Algeria






ADVERTISE HERE