FT : Simba 1-0 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Apr 2018
FT : Simba 1-0 Yanga
Simba imefanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom uliopigwa katika uwanja wa Taifa.

Bao pekee la Simba lilipatikana kwenye dakika ya 37 mfungaji akiwa Erasto Nyoni aliyeunganisha mpira wa adhabu uliopigwa na Shiza Kichuya.

Katika kipindi cha pili Yanga ilipata pigo kwenye dakika ya 47 baada ya Hassani Kessy kutolewa nje kwa kadi nyekundu.

Kessy alipewa kadi ya pili ya njano baada ya kumfanyia madhambi Asante Kwasi.

Mchezo haukuwa rahisi kwa kikosi cha Yanga hasa baada ya kubaki 10 uwanjani.

Matokeo hayo yatakuwa yamefifisha kabisa matumaini ya Yanga kutetea ubingwa kwa msimu wa hnne kwani wapinzani wao Simba ambao sasa wanaongoza kwa tofauti ya alama 14 dhidi yao, wanahitaji kushinda michezo miwili tu (alama tano) watwae ubingwa.

Yanga ina michezo miwili ya kiporo ambayo hata wakishinda yote watakuwa na pungufu ya alama nane kuifikia Simba.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’