Jana Yanga ilimtambulisha Adnan Behlulovic (43) mtaalam wa mazoezi ya viungo aliyeongezwa katika idara ya 'fitness' kwenye kikosi cha Yanga
Adnan ni raia wa Bosnia na atafanya kazi sambamba na Taibi Lagrauni ambaye ndio bosi wa kitengo hicho
Mgogoro wa kisiasa kati ya Morocco na Algeria umepelekea Taibi asisafiri na timu Algeria katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger utakaopigwa baadae leo
Adnan yuko Algeria akisimamia mazoezi ya kuelekea mchezo huo utakaopigwa saa 4 usiku
ADVERTISE HERE