Kikosi cha Yanga kimerejea salama kutoka Algeria walikokamilisha mchezo wa pili wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger ambao Wananchi walipoteza kwa mabao 2-0
Yanga ina siku chache za maandalizi kabla ya kusafiri Lubumbashi kuikabili TP Mazembe siku ya Jumamosi, Disemba 14






ADVERTISE HERE