Msafara wa mashabiki kuelekea Lubumbashi leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2024
Msafara wa mashabiki kuelekea Lubumbashi leo

Basi linalobeba mashabiki na wanachama wa Yanga linaondoka leo kuelekea Lubumbashi, DR Congo kwenda kuiongezea hamasa Yanga katika mchezo wa tatu hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa Jumamosi, Disemba 14

Licha ya kusafiri na mashabiki zaidi ya 50, klabu ya Yanga ina matawi mawili Lubumbashi, hivyo wananchi wanatarajia kupata sapoti kubwa katika mchezo huo

Kikosi cha Yanga kitaondoka nchini mapema siku ya Alhamisi tayari kwa mchezo huo ambao alama tatu ni muhimu zaidi kwa Wananchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’