Baleke mambo magumu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Dec 2024
Baleke mambo magumu Yanga

Mshambuliaji Jean Baleke hakujumuishwa katika kikosi cha Yanga kilichosafiri Lubumbashi kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe utakaopigwa Jumamosi, Disemba 14

Inafamika pia Baleke anaitumikia Yanga kwa mkopo na pengine waajiri wake (TP Mazembe) wamweka sharti asicheze dhidi yao lakini ni wazi Mcongoman huyo anaweza kupewa mkono wa kwaheri pale dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Jumatatu, Disemba 16

Haikuwa rahisi kwa Baleke kupenya katika kikosi cha kocha wa zamani Miguel Gamondi lakini pia hajamshawishi kocha mpya Sead Ramovic

Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Yanga imedokeza kuwa mshambuliaji raia wa Uganda Fahad Bayo anatarajiwa kuchukua nafasi yake

Bayo amekuwa akifanya mazoezi na kikosi cha Yanga kwa wiki kadhaa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’