Ni kazi kazi Lubumbashi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Dec 2024
Ni kazi kazi Lubumbashi

Baada ya kutua Lubumbashi DR Congo jana, kikosi cha Yanga hakikuwa na muda wa kupoteza kwani jioni wachezaji walifanya mazoezi yao ya kwanza kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe utakaopigwa kesho Jumamosi, Disemba 14

Leo saa 10 jioni Wananchi watakamilisha maandalizi yao ya mwisho katika dimba la TP Mazembe

Mechi dhidi ya Mazembe hapo kesho ni kama fainali kwa Yanga, ni mtokeo ya aina moja tu yanayohitajika, Yanga ishinde au TP Mazembe apigwe!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’