Ishu ya Msuva ilikuwa hivi

Admin By Admin
β€’
16 Jun 2017
Ishu ya Msuva ilikuwa hivi
Kuna usanii kiongozi mmoja wa Yanga akishirikiana na wakala wa Msuva walitaka kufanya. Ni hivi huyo wakala wa Msuva alifika Yanga na kuonana na kiongozi huyo akidai Msuva amepata timu nje.

Kiongozi huyo wa Yanga (jina kapuni) akafikisha taarifa kwa Mkwassa na wenzake juu klabu moja ya nje kumtaka Msuva. Uongozi ukasema hamna tabu waandike barua rasmi ili tuwajibu kiofisi.

Basi hiyo timu isiyojulikana baada ya kufanya ilivyoelekezwa ikajifisha nyuma ya wakala wa Msuva ikitaka yeye ndio aushawishi uongozi wa Yanga utaje bei ya Msuva halafu yeye tena amalizane na uongozi.

Hapo uongozi wa Yanga ukashituka ndipo wakasitisha mazungumzo mara moja. Baada ya kuona mpango huo wa kwanza umekwama, wakaja na mapngo wa pili kumwambia Msuva avunje mkataba eti kwa kuwa hajalipwa mshahara wa miezi mitatu mfululizo jambo ambalo si la kweli.

Ni dhahiri waliokuwa wanacheza mchezo huu wanafahamika lakini wameshindwa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’