Keshokutwa Alhamisi, Disemba 19 mabingwa watetezi ligi kuu ya NBC Yanga wanaendelea na kampeni ya kutetea taji lao kwa msimu wa nne mfululizo pale watakaposhuka dimba la KMC Complex kuikabili Mashujaa Fc
Huu utakuwa mchezo wa kwanza kwa Yanga katika uwanja huo baada ya kuhama kutoka Azam Complex
Viingilio vya mchezo huo VIP A ni Tsh 20,000/- wakati Mzunguuko ni Tsh 10,000/-
ADVERTISE HERE