Mkutano Mkuu Yanga ni Jumapili ijayo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 May 2018
Mkutano Mkuu Yanga ni Jumapili ijayo
Mkutano Mkuu wa wanachama wa klabu ya Yanga unatarajiwa kufanyika Jumapili ijayo, May 06, 2018.

Uongozi wa Yanga umewataka wanachama wa klabu hiyo kulipia ada zao za uanachama mapema ili kuepuka usumbufu siku ya Mkutano.

Ni wanachama 'hai' pekee watakaoruhusiwa kuingia kwenye Mkutano huo utakaopitisha ajenda muhimu.

Pamoja na maswala mengine, madhumuni makuu ya Mkutano huo ni kupitia na kuidhinisha mapendekezo ya mabadiliko ya Katiba ya Yanga yaliyowasilishwa na Kamati ya utendaji.

Pia kupitia na kuidhisha mapendekezo ya mfumo ya uendeshaji wa klabu ya Yanga yaliyowasilishwa na Kamati ya Utendaji.

Hii ni nafasi adimu kwa WanaYanga kuamua mustakabali wa klabu yao.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’