Kituo kinachofuata ni Tanzania Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Dec 2024
Kituo kinachofuata ni Tanzania Prisons

Baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mashujaa Fc, hakuna muda wa kupumzika kwani Jumapili Yanga inarudi tena KMC Complex kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo mwingine muhimu wa ligi kuu ya NBC

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni ambapo VIP A ni Tsh 20,000/- na Mzunguuko ni Tsh 10,000/-

Malengo ni kushinda mechi zote tatu zilizobaki kuhitimisha duru ya kwanza ligi kuu ya NBC

Ni siku nyingine ya kwenda kushuhudia shoo za Dube...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’