Tuzo iko katika mikono salama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Dec 2024
Tuzo iko katika mikono salama

Beki wa Yanga Ibrahim Bacca leo alichaguliwa nyota wa mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Tanzania Prisons uliopigwa dimba la KMC Complex Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 4-0

Katika mchezo huo Bacca alipachika mabao mawili akiendelea kusogea juu katika mbio za kuwania tuzo ya ufungaji bora msimu huu

Bacca anachuana na washambuliaji, amefikisha mabao manne, akichuana na Prince Dube wakiwa ndio vinara wa mabao katika kikosi cha Yanga

Wako nyuma kwa tofauti ya mabao 3 tu dhidi ya Elvis Rupia anayeongoza mbio akiwa amefunga mabao 7

Bacca ndiye beki anayeongoza kwa kuzifumania nyavu msimu huu!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’