Dube, Mzize ni mwendo wa kimya kimya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Dec 2024
Dube, Mzize ni mwendo wa kimya kimya

Jana Clement Mzize alipachika mabao mawili katika ushindi wa mabao 4-0 ambao Yanga waliupata dhidi ya Dodoma Jiji

Mzize alibeba tuzo ya nyota wa mchezo huo akionyesha kiwango cha hali ya juu

Mshambuliaji huyo kinda sasa amepachika mabao 3 katika mechi mbili zilizopita na kufikisha mabao matano ya ligi

Nyota wa raia wa Zimbabwe Prince Dube nae akiendeleza kasi yake ya kuzifumania nyavu, akipachika bao la nne katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Jamhuri

Dube sasa amefunga katika mechi nne mfululizo, jumla mabao 6, matano yakiwa ni ya ligi kuu

Mzize na Dube wameendelea kusogea juu katika orodha ya wafungaji bora wakiwa na mabao 5

Wako nyuma kwa tofauti ya mabao 3 dhidi ya kinara Elvis Rupia wa Singida BS

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’