Mashujaa wetu wako vitani, tuwaombee - Arafat

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jan 2025
Mashujaa wetu wako vitani, tuwaombee - Arafat

Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji amewataka Wanachama na Mashabiki ambao kuiombea timu yao ili iweze kuibuka na ushindi katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal ambao utapigwa leo saa 4 usiku huko Mauritania

Yanga inahitaji kushinda mchezo huo ili kuweka hai matumaini ya kufuzu robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Arafat amesema furaha ya Wananchi leo imeshikiliwa na wanaume 19 ambao baadae watakuwa uwanjani kuipigania Yanga hivyo kila mmoja kwa imani yake, afanye maombi ili matokeo mazuri yapatikane katika mchezo huo

"Mwananchi hauna timu nyingine zaidi ya hii, hauna furaha nyingine kwenye mpira zaidi ya hii. Hakuna tunapoweza kuhamia zaidi ya hii timu, tulizaliwa Yanga, tunaiishi Yanga na tutazikwa ingali ni Yanga"

"Tenga muda wako leo kuombea Mashujaa hawa ambao wanaenda vitani kwa ajili ya furaha yetu jioni ya leo. Hii sio mechi ya mpira wa miguu bali ni historia, ni ushujaa na ni heshima kubwa kwa nembo ya Kijani na Njano"

"Leo tunaenda kufurahi In shaa Allah, ni leo, ni jioni hii, ni Mauritania sote tuwe nyuma ya timu yetu popote pale duniani"

"Kila la heri timu yetu, kila la heri Young Africans, the club above all," aliandika Arafat katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’