Pole Boka kwa kufiwa na Baba Mzazi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jan 2025
Pole Boka kwa kufiwa na Baba Mzazi

Mlinzi wa kushoto wa Yanga Chadrack Boka amefiwa na Baba yake mzazi aliyefariki huko Kinshasha, DR Congo Jumamosi January 11

Jana Boka aliitumikia Yanga katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal licha ya kuwa katika majonzi makubwa

Yanga imetoa pole kwa Boka na kuungana nae katika kipindi hiki kigumu cha majonzi

"Uongozi wa Young Africans Sports Club tunapenda kutoa pole kwa mchezaji wetu Chadrack Boka, kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi kilichotokea Tarehe 11/01/ 2025, nyumbani kwao Kinshasa DR Congo. Uongozi wa Young Africans unaungana na wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na unawataka wanafamilia wote kuwa na subira. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Amina"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’