Ni Gusa Achia Twende Robo Fainali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jan 2025
Ni Gusa Achia Twende Robo Fainali

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo wa kuhitisha hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya MC Alger na tayari Wananchi wanamiminika vituoni kununua tiketi zao mapema

Ni GUSA ACHIA TWENDE ROBO FAINALI ndio kauli mbiu ambayo Wananchi wanakwenda nayo katika mchezo huo utakaopigwa Jumamosi, Januari 18 saa 10 jioni katika uwaanja wa Benjamin Mkapa

Wananchi kutoka kila pembe ya Tanzania na hata nje ya nchi, kutano lao ni moja tu siku ya Jumamosi, pale uwanja wa Benjamin Mkapa kuhakikisha MC Alger wanaacha alama zote tatu kwani kufungwa ni LAZIMA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’