Ramovic ameshindikana mashindano ya ndani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jan 2025
Ramovic ameshindikana mashindano ya ndani

Kocha Mkuu wa Yanga Sead Ramovic ameweka rekodi ya kibabe katika mashindano ya ndani tangu alipojiunga na mabingwa hao wa nchi

Juzi Ramovic aliingoza Yanga kupata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Copco na kutinga hatua ya 32 bora kombe la Shirikisho la CRDB

Huo ulikuwa mchezo wa sita mfululizo Yanga inashinda katika mashindano yote ya ndani chini ya Ramovic

Ushindi huo ulitanguliwa na ushindi katika mechi tano mfululizo za ligi kuu. Jumla ya mabao 23 yamefungwa huku ukuta wake ukiruhusu mabao mawili tu

Alianza na dozi ya 2-0 ugenini dhidi ya Namungo Fc, ikafuata dozi ya 3-2 dhidi ya Mashujaa Fc nyumbani, Dodoma Jiji wakapigwa 4-0 katika uwanja wao kabla ya Tanzania Prisons kufumuliwa 4-0 dimba la KMC Complex

Dozi ikapanda kwa Fountain Gate wakipigwa 5-0 na Copco nao wakakumbana na dozi kama hiyo katika dimba la KMC Complex

Mchezo unaofuata ni dhidi ya Kagera Sugar Februari 1 katika uwanja wa KMC Complex

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
45m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’