Aliyekuwa winga wa Yanga Skudu Makudubela amejiunga na klabu ya AS Vita kwa mkataba wa miezi 6
Baada ya kutemwa na Yanga Skudu hakuwa na timu kabla ya kupokea ofa hiyo ya kujiunga na AS Vita ambayo pia imewasajili Yannick Bangala na Jesus Moloko ambao pia waliitumikia Yanga kwa nyakati tofauti
AS Vita inanolewa na kocha wa zamani wa Azam Fc Youssef Dabo raia wa Ivory Coast
ADVERTISE HERE