CR Belouizdad wanamtaka Ramovic

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Feb 2025
CR Belouizdad wanamtaka Ramovic

Taarifa ya kuwashtua Wananchi ni kuwa CR Belouizdad ya Algeria inamuwania Kocha Mkuu wa Yanga Sead Ramovic ambaye ndio kwanza ana takribani miezi miwili tangu atue kwa Wananchi

Kuna taarifa kuwa Belouizdad wako tayari kuvunja mkataba wake na Yanga ili kocha huyo akajiunge na miamba hao wa Algeria wakati huu

Baada ya mazoezi ya mwisho ya Yanga Jumanne jioni kuelekea mchezo dhidi ya KenGold ambao utapigwa Jumatano, Ramovic aliwataarifu wachezaji wake kuwa huenda mchezo huo ukawa wa mwisho kwake

Yanga tayari imethibitisha kuvunja mkataba wake ambapo Ramovic ataondoka na Msaidizi wake huku Miloud Hamdi kutoka Singida BS akikabidhiwa mikoba ya kuinoa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’