FT : Yanga 6-1 KenGold

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Feb 2025
FT : Yanga 6-1 KenGold

Ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya KenGold katika dimba la KMC Complex umeirudisha Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 45

Kama Prince Dube angekuwa makini leo pengine angefunga mabao matano peke yake katika mchezo ambao alifunga mabao mawili kama ilivyokuwa kwa Clement Mzize

Mabao mengine yalifungwa na Pacome Zouzoua na Duke Abuya Yanga ikienda mapumziko ikiwa mbele kwa mabao 4-0 na kuongeza mawili katika kipindi cha pili

Mabao ya dakika za mapema yaliyofungwa na Dube na Mzize yalivuruga mpango wa KenGold ambao kwa hakika leo walistahili kubebeshwa fuko la mabao!

Selemani Bwenzi alifunga bao pekee la KenGold akimuotea mlinda lango Djigui Diarra ambaye alikuwa ametoka golini

Kocha mpya wa Yanga Miloud Hamdi aliushuhudia mchezo huo akiwa jukwaa, kwenye benchi akikaa Abdulhamid Moallin

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’