Msuva aibuka kambi ya Yanga Algeria

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 May 2018
Msuva aibuka kambi ya Yanga Algeria
Winga wa Kimataifa wa Tanzania anayekipiga Difaa El Jadida ya Morocco, Saimon Msuva mapema leo amefika kambi ya Yanga jijini Algiers kuwapa moyo vijana wanaotarajia kushuka dimbani kesho kuwakabili USM Algiers.



Difaa El Jadida ilikuwa nchini Algeria kucheza mchezo wake wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya Mouloudia Club D'Alger.

Mchezo huo ulicheza jana Ijumaa usiku na kumalizika kwa sare ya bao 1-1 Msuva akicheza kwa dakika 87.

Msuva aliyejiunga na timu hiyo ya Morocco akitokea Yanga msimu uliopita, amekuwa mchezaji wa kutegemewa wa kikosi cha kwanza.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
59m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’