Mzize hafikirii ufungaji bora

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Feb 2025
Mzize hafikirii ufungaji bora

Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize, amesema mabao anayoyafunga ni kwa ajili ya kuisaidia timu yake kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya nne mfululizo na kamwe hafikirii tuzo ya mfungaji bora

Juzi, Mzize alifunga mabao mawili katika ushindi wa magoli 6-1 dhidi ya Kengold FC kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara na kufikisha mabao tisa

Mzize anayewindwa na timu mbalimbali nje ya Tanzania, amesema kama wachezaji wanajituma uwanjani kuhakikisha wanaisaidia timu yao kutetea ubingwa

"Kikubwa ni ubingwa kwa timu, ligi ni ngumu na kila mchezaji anapambana kuhakikisha malengo ya klabu yanatimia, tumeingia mzunguko wa pili, mzunguko wa lala salama, kila mechi ni fainali kwetu kwa sababu tunataka kuona mwisho wa msimu timu inatetea ubingwa," alisema Mzize

Aidha, mshambuliaji huyo wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), alisema suala la tuzo binafsi kwake ni jambo la pili baada ya ubingwa kutua kwa Yanga

"Nafunga kuisaidia timu kutwaa ubingwa, suala la mfungaji bora nadhani litatokea lenyewe, mimi binafsi lengo ni kusaidia timu kutetea ubingwa tunaoushikilia," Mzize aliongeza

IPP Media

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’