Speed Master yuko tayari kuwapa raha Wananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Feb 2025
Speed Master yuko tayari kuwapa raha Wananchi

Winga Jonathan Ikangalombo ameanza mazoezi ya timu na wachezaji wengine wa Yanga baada ya kumaliza program maalum ya mazoezi

Ikangalombo jana alishiriki kikamilifu mazoezi Avic Town yakiwa ni maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa kesho Ijumaa

Muda wa kusubiri sasa umemalizika! Pengine kesho nyota huyo anayeweza kuonekana katika dimba la KMC Complex japo kwa dakika chache

Winga huyo wa Kimataifa wa DR Congo alisajiliwa na Yanga katika usajili wa dirisha dogo sambamba na Israel Mwenda ambaye tayari anatumika katika kikosi cha kwanza

Kwa aina yake ya uchezaji, bila shaka Ikangalombo ataongeza ubora katika eneo la ushambuliaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
46m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’