Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki leo ameibuka na tuzo ya nyota wa mchezo baada ya kufunga 'hat-trik' katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC
Katika msimu ambao wengi wanaamini hajafikia kile alichofanya msimu uliopita, takwimu zake zinazidi kupendeza
Aziz Ki sasa amehusika katika mabao 11 baada ya kufikisha mabao 5 huku pia akiwa na assist 6
Leo amebeba tuzo yake ya kwanza ya nyota wa mchezo msimu huu
ADVERTISE HERE