Aziz Ki kuongoza mapambano Kigoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Feb 2025
Aziz Ki kuongoza mapambano Kigoma

Stephane Aziz Ki ni miongoni mwa wachezaji walioondoka jijini Dar es salaam leo kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc ambao utapigwa Jumapili, Februari 23 katika uwanja wa Lake Tanganyika

Hii ilikuwa wiki muhimu kwa Aziz Ki ambaye amekamilisha tukio adhimu la kufunga ndoa na mpenzi wake Hamisa Mobeto

Hakuna 'honey-moon' kwa mwamba huyo kutoka Burkina Faso kwani leo ameongoza wachezaji wenzake kuelekea Kigoma

Aziz Ki anaendelea kudhihirisha yeye ni Mwananchi na anahitaji kuwa sehemu ya mafanikio ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa nne

Yanga imedhamiria kutetea ubingwa wake, licha ya upinzani mkubwa uliopo lakini kila mechi katika mechi zilizosalia ni kama fainali..

Wananchi wakitoka Kigoma wataelekea mkoani Mwanza kuikabili Pamba Jiji, Februari 28

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’