Yanga yapaa Mwanza kuifuata Pamba Jiji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Feb 2025
Yanga yapaa Mwanza kuifuata Pamba Jiji

Kikosi cha Yanga kiliondoka jijini Dar es salaam alfajiri ya leo Jumatano, Februari 26 kuelekea mkoani Mwanza ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu ya NBC

Ijumaa, Februari 28 Yanga itashuka uwanja wa CCM Kirumba kumenyana na wenyeji wao Pamba Jiji

Yanga tayari imetua Mwanza ambapo kocha Miloud Hamdi na vijana wake watakuwa na siku mbili za kukamilisha maandalizi kabla ya mchezo siku ya Ijumaa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’