Yanga Princess kushiriki Samia Women Cup 2025

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Feb 2025
Yanga Princess kushiriki Samia Women Cup 2025

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kupokea mwaliko kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kwa ajili ya mashindano ya Samia Women Super Cup 2025

Mashindano hayo yatakayofanyika kwa mara ya kwanza, yatazikutanisha timu nne bora za Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025 ambazo ni Fountain Gate Princess, JKT Queens, Simba Queens na Yanga Princess

Mashindano yataanza Machi 4, 2025, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, ambapo michezo ya nusu fainali itachezwa siku hiyo

Mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu na fainali itapigwa Machi 6, 2025, huku timu zote zikitarajiwa kufika jijini humo, Jumapili, Machi 2, 2025

Mashindano ya Samia Women Super Cup 2025 yanafanyika katika wiki ambayo inakamilisha Siku ya Wanawake Duniani, ambapo kitaifa itafanyika jijini Arusha

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’