Pamba Jiji sio wepesi - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Feb 2025
Pamba Jiji sio wepesi - Kamwe

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema wanatarajia kupata upinzani mkali katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji ambao utapigwa kesho Ijumaa katika uwanja wa CCM Kirumba

Kamwe amesema kikosi cha Pamba Jiji kimeimarika chini ya kocha Fred Felix Minziro wakipata matokeo mazuri katika mechi zilizopita

Hata hivyo Kamwe amesema Yanga inajivunia ubora wa kikos chao akiamini wachezaji watapambana kushinda mchezo huo

"Hatuiangalii Pamba Jiji kama mpinzani dhaifu, ni timu ngumu kwelikweli na hivi karibuni imepata matokeo mazuri dhidi ya timu vigogo kama Azam Fc na hata Singida BS"

"Tunaamini mchezo utakuwa mgumu lakini sisi tunajivunia ubora wa kikosi chetu. Tuna timu inayoweza kushinda mechi yoyote"

"Hivyo naamini kama wachezaji wetu watapambana, tutaweza kushinda mchezo huu muhimu sana kwetu," alisema Kamwe

Kikosi cha Yanga kilitua Mwanza mapema jana na jioni timu kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba

Leo Yanga itakamilisha maandalizi yake katika uwanja huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’