Pacome anawasubiri Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Mar 2025
Pacome anawasubiri Simba

Juzi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji, Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi alimuweka nje kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua

Pacome  ana kadi mbili za njano, kama angetumika katika mchezo huo na kupata kadi nyingine, angekosa mchezo utakaofuata dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi, March 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Sasa habari ziwafikie! Pacome atakuwepo Jumamosi kuendeleza ubora wake msimu huu

Mpaka sasa Pacome amefunga mabao 7 na kutoa assist 7 akiwa miongoni mwa wachezaji waliohusika katika mabao mengi kwenye kikosi cha Yanga

Ukizungumzia timu yenye safu bora ya ushambuliaji basi utaitaja Yanga iliyofunga mabao 58 katika mechi 22

Eneo la mbele limetoa uwiano mzuri wa kufunga na kutoa pasi za mabao. Pacome mabao (7), Mzize (10), Dube (10), Aziz Ki (7) na Maxi (5)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
58m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’