Stephane Aziz Ki, Prince Dube na Maxi Nzengeli wametajwa na Yanga kuwania tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Februari 2025 (NIC Player of the Month)
Wachezaji wote wamekuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha Yanga katika kufunga na kutoa pasi za mabao
Nani anastahili kushinda tuzo hii aondoke na kitita cha Tsh Milioni 4 kutoka kwa wadhamini NIC?
ADVERTISE HERE