Kama kanuni zitafuatwa, maamuzi yanapaswa kuwa hivi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Mar 2025
Kama kanuni zitafuatwa, maamuzi yanapaswa kuwa hivi

Kwa mujibu wa kanuni, inaeleza kuwa ikiwa itabainika maofisa wa usalama wa Yanga walihusika kuizuia Simba kufanya mazoezi, kanuni ya 47 (1) inafafanua adhabu ambayo inaweza kukumbana nayo

"Klabu ina wajibu na jukumu la kuhakikisha kuwa wachezaji, viongozi, wanachama na wapenzi wake wanajiheshimu na hawajihusishi na vitendo vyovyote vya utovu wa nidhamu kama vile matusi, vitisho, vurugu, vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina na vitendo vyovyote vingine visivyokuwavya kimichezo kwenye viwanja vya michezo"

"Klabu ambayo ashabiki/wachezaji/viongozi wake watafanya vitendo hivyo itatozwa faini ya Sh5 milioni na kwa makosa ya kujirudia, faini itatozwa kati ya Sh10 milioni na Sh20 milioni," inafafanua kanuni hiyo

Vipi kuhusu makosa kugomea mchezo? kanuni ya 47(6) inafafanua kuwa adhabu kubwa ni timu kushushwa daraja

"Klabu itakayoshindwa kupeleka timu uwanjani baada ya kuhudhuria kikao cha maandalizi ya mchezo kitatozwa faini ya Sh5 milioni na kushushwa daraja. Kiongozi aliyeshiriki kutopeleka timu uwanjani atafikishwa kwenye Kamati ya Nidhamu au Kamati ya Maadili ya TFF," imefafanua kanuni hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’