Kituo kinachofuata ni Coastal Union, CRDB Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Mar 2025
Kituo kinachofuata ni Coastal Union, CRDB Cup

Wakati Wananchi wakisubiri alama tatu kufuatia watani zao Simba kuingia mitini katika mchezo wa ligi kuu uliopaswa kupigwa Jumamosi, March 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kikosi cha Yanga leo kinarejea mazoezini kukamilisha maandalizi ya mchezo wa kombe la CRDB raundi ya nne dhidi ya Coastal Union

Jumatano, March 12 Yanga itashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Coastal Union katika mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya 16 bora

Yanga ndio mabingwa watetezi wa kombe la CRDB wakitwaa taji hilo kwa misimu mitatu mfululizo

Malengo ya Wananchi kutwaa taji hilo kwa msimu wa nne

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’