Kanuni zisibague, zitumike kwa kila timu inayokosea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Mar 2025
Kanuni zisibague, zitumike kwa kila timu inayokosea

Ukitaka kujua makali ya kanuni za ligi kuu basi Yanga iwe imekosea. Katika kipindi cha misimu miwili pengine Yanga ndio timu iliyolipa fedha nyingi za faini kuliko timu yoyote ya ligi adhabu hizo zikitokana na ukiukwaji wa kanuni

Sasa katika sakata hili la Simba kugomea mchezo basi kanuni pia zinapaswa kufuatwa. Kanuni hizi hizi ambazo zimetumika kuwaadhibu wengine waliokosea basi zinapaswa kutumika kuiadhibu Simba pia

Kitendo cha Bodi ya ligi kujaribu kuibeba Simba wakati wao wenyewe wamekiri haikutimiza wajibu wake ili ipate haki ya kufanya mazoezi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kinadhihirisha mashaka ya Yanga juu ya bodi hiyo

Yanga inapaswa kushikilia msimamo wake ili tuone kama Bodi imeundwa kusimamia maslahi ya klabu zote au maslahi ya Simba tu?

Kama Bodi ya Ligi haitaipa Yanga alama tatu na badala yake kutangaza tarehe nyingine ya mchezo huo kupigwa huku wakifahamu Yanga haitoshiriki mchezo huo, basi tutasubiri tuone kama wataipa Simba alama tatu na kuishusha Yanga daraja kama kanuni zinavyoelekeza?

Kama TFF watashindwa kusimamia kanuni katika sakata hili basi wajue mamlaka za juu yao CAF na FIFA zitatumia kanuni hizohizo kuipatia Yanga haki yake na kama jambo hili litafika katika ngazi za juu, hata TFF pia wajue watakuwa matatani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’