Jumatano, March 12 2025 Yanga itashuka uwanja wa KMC Complex kumenyana na Coastal Union katika mchezo wa kuwania kufuzu hatua ya 16 bora kombe la Shirikisho la CRDB
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni
Mzunguuko ni Tsh 10,000/- na VIP ni Tsh 20,000/-
ADVERTISE HERE