Shoo za Ikangalombo zinaendelea leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Mar 2025
Shoo za Ikangalombo zinaendelea leo

Majira ya saa 10 jioni pale uwanja wa KMC Complex Yanga itamenyana na Coastal Union katika mchezo wa raundi ya nne kombe la Shirikisho la CRDB

Bila shaka shauku kubwa ya mashabiki wa Yanga itakuwa kumshuhudia kwa mara nyingine winga Jonathan Ikangalombo

Ikangalombo alionyesha kiwango bora katika mchezo wa mwisho alioitumikia Yanga dhidi ya Pamba Jiji mkoani Mwanza

Baada ya wiki takribani nne za mazoezi binafsi, Ikangalombo sasa anaonekana yuko tayari, kocha Miloud Hamdi akimjumuisha katika vikosi vyake vya mechi mbili zilizopita

Winga huyo mwenye kasi ya kimbunga, alijumuishwa katika kikosi ambacho kilipaswa kucheza na Simba Jumamosi iliyopita katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kama sio Simba kuingia mitini, angetumika katika mchezo huo

Pengine Hamdi leo anaweza kumuanzisha katika kikosi cha kwanza kitakachoikabili Coastal Union

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’