FT : Yanga 3-1 Coastal Union, CRDB Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Mar 2025
FT : Yanga 3-1 Coastal Union, CRDB Cup

Yanga imekamilisha idadi ya timu 16 zilizofuzu hatua ya 16 bora kombe la Shirikisho la CRDB ikiibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo uliopigwa dimba la KMC Complex

Yanga ilihitaji dakika 21 tu kumaliza mchezo huo Maxi Nzengeli akifunga mabao mawili ya haraka dakika ya 1 na 14 kabla ya Clement Mzize kufunga bao la tatu katika dakika ya 21

Miraji Abdallah alifunga bao pekee la Coastal Union dakika ya 18 akipiga shuti nje ya 18 ambalo lilimshinda mlinda lango wa Yanga Aboutwalib Mshery

Yanga iliendelea kutawala mchezo huo na kutengeneza nafasi nyingi lakini dakika 90 zilikamilika kwa ushindi huo wa mabao 3-1

Mabingwa hao watetezi sasa watachuana na Songea United katika hatua inayofuata

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’