Nyota Yanga viwanjani na timu za Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Mar 2025
Nyota Yanga viwanjani na timu za Taifa

Mechi za kuwania kufuzu kwa michuano ya kombe la Dunia zinaendelea leo ambapo baadhi ya wachezaji wa Yanga watakuwa viwanjani kuzitumikia timu zao za Taifa

Nahodha wa timu ya Taifa ya Uganda Khalid Aucho leo atakiongoza kikosi hicho cha Uganda Cranes katika mchezo dhidi ya Msumbiji utakaopigwa saa 10 jioni huko Maputo

Majira ya saa 1 usiku Prince Dube na timu ya Taifa ya Zimbabwe watakuwa uwanjani kupepetana na Benin

Nae Duke Abuya akiwa na Harambee Stars, watakuwa ugenini huko Gambia kusaka matokeo muhimu Kenya wakinolewa na Benni McCarthy nyota wa zamani wa klabu za Porto na aliyekuwa kocha wa safu ya ushambuliaji ya Manchester United

Saa 6 usiku mlinda lango Digui Diarra ataingoza Mali katika mchezo utakaopigwa ugenini dhidi ya Cameroon

Nyota wa Yanga ambao wako timu ya taifa ya Tanzania watasubiri mpaka March 26 kumenyana na Morocco katika mchezo utakaopigwa saa 6:30 usiku

Walinzi Dickson Job na Ibrahim Bacca, kiungo Mudathir Yahya na mshambuliaji Clement Mzize watakuwa na kazi ya kuipigania Stars katika mchezo huo muhimu ugenini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’