Yao anarudi 'mdogo mdogo'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Mar 2025
Yao anarudi 'mdogo mdogo'

Kwa takribani miezi miwili, Wananchi hawajamshuhudia beki wao mahiri upande wa kulia Yao Kouassi ambaye majeraha yamemuandama msimu huu

Baada ya upasuaji wa goti, Yao amepona na sasa ameanza mazoezi ya kurejesha utimamu wa mwili

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema Yao anaendelea kuimarika siku hadi siku, ni suala la muda tu Wananchi watamuona tena uwanjani

"Yao amepona majeraha, kama mnavyomuona ameanza program maalum ya mazoezi ili kurejesha utimamu wake wa mwili"

"Ni matarajio yetu, atakuwa sawa haraka na kurejea katika majukumu yake," alisema Walter

Yanga ililazimika kumsajili Israel Mwenda baada ya Yao kuumia huku kukiwa na hofu ya kumkosa kwa muda mrefu

Urejeo wake unakwenda kuongeza ushindani zaidi katika safu ya ulinzi upande wa kulia kwani wakati huu Mwenda anaonekana kufanya vizuri akimuweka nje Kibwana Shomari ambaye alirejea kikosini baada ya Yao kuumia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’