Yanga bado inakimbiza IFFHS

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Mar 2025
Yanga bado inakimbiza IFFHS

Mabingwa wa kihistoria ligi kuu ya Tanzania, Yanga wanashika nafasi ya 165 kwa ubora kati ya timu 500 ulimwenguni

Kulingana na takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS), Yanga imejikusanyia alama 121 katika kipindi cha March 2024 hadi February 25 na kuifanya kuwa ya 8 kwa upande wa Afrika, na kuzipita timu kama vile Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini (9), Al Masry ya Misri (11) na MC Alger ya Algeria iliyoshika nafasi ya 12 barani Afrika

Yanga ndio timu inayoshika nafasi za juu katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati huku watani zao Simba wakiwa katika nafasi ya 222, ikiwa imekusanya jumla ya alama 97.5, pia ikishika nafasi ya 14 kwa ubora barani Afrika

NB

Takwimu za IFFHS zinazingatia mafanikio ya timu katika mashindano yote ya ndani na Kimataifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’