Dube hatari kwa mabao ya vichwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Mar 2025
Dube hatari kwa mabao ya vichwa

Katika mabao 10 aliyofunga kwenye ligi kuu ya NBC msimu huu, mshambuliaji wa Yanga Prince Dube, mabao yake 6 ameyafunga kupitia mipira ya vichwa

Kwa mujibu wa takwimu za Bodi ya Ligi, Dube ndiye mchezaji hatari zaidi katika kufunga mabao ya vichwa

Anayemfuatia kwa karibu ni Heritier Makambo wa Tabora United aliyefunga mabao manne ya vichwa

Lakini pia kwenye orodha hiyo ya vinara wa mabao ya vichwa yumo beki wa Yanga Ibrahim Bacca aliyepachika mabao matatu ya vichwa

Bacca ndiye beki mwenye mabao mengi msimu huu akipachika mabao manne

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’