Kikosi cha Yanga kimerejea salama jijini Dar es salaam wakitokea mkoani Singida ambapo jana walishiriki mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida Black Stars katika uzinduzi wa Airtel Stadium
Kutuo kinachofuata kwa Yanga sasa ni mchezo wa hatua ya 16 bora kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Songea United, mchezo utakaopigwa Jumamosi March 29 katika uwanja wa KMC Complex




ADVERTISE HERE