Matchday : Yanga vs Songea United, CRDB Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Mar 2025
Matchday : Yanga vs Songea United, CRDB Cup

Mikiki mikiki ya kombe la Shirikisho la CRDB inaendelea leo ambapo mabingwa watetezi Yanga wataikaribisha Songea United katika mchezo wa hatua ya 16 bora

Yanga itaingia kwenye mchezo huo kuendeleza ubabe wake katika michuano ya FA, msimu huu wakisaka taji la nne mfululizo

Katika karatasi unaweza kuonekana kama ni mchezo mwepesi kwa Yanga kwa kuwaangalia Songea United ambao wanashiriki ligi ya Championship

Hata hivyo hakuna mechi nyepesi katika hatua ya mtoano, kuna vigogo kama Azam Fc waliondoshwa mapema na timu ya Championship, Mbeya City

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema hawataidharau Songea United kwani timu dhaifu haiwezi kupenya mpaka hatua ya 16 bora

Mchezo utapigwa saa 10 jioni katika uwanja wa KMC Complex..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
48m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’