Yanga kuifuata Tabora United Jumanne

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Mar 2025
Yanga kuifuata Tabora United Jumanne

Baada ya kujihakikishia tiketi ya kutinga robo fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Songea United, kikosi cha Yanga kinaelekeza nguvu zake kwenye ligi kuu ya NBC

Jumanne, April 01 Yanga itaondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Tabora wanakokabiliwa na mchezo dhidi ya Tabora United utakaopigwa Jumatano katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

Wananchi wanakwenda Tabora wakiwa dhamira ya kulipa kisasi dhidi ya walina asali hao ambao mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dar es salaam walipata ushindi wa mabao 3-1 dimba la Azam Complex

Baadhi ya maafisa wa Yanga alikuwemo Meneja wa Habari na Mawasiliano Ali Kamwe, wametangulia Tabora kwa ajili ya hamasa na kusajili mashabiki na wanachama wapya

Hii ni mechi ambayo Yanga wanaichukulia kama fainali na hakuna matokeo zaidi ya ushindi ambayo Wananchi watahitaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’