Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa nyota wa Yanga Jonas Mkude na Jonathan Ikangalombo
Ni msimu wa pili kwa Mkude aliyetua Jangwani msimu uliopita akitokea klabu ya Simba
Mkude amekuwa vipindi tofauti vya kutumika katika kikosi cha kwanza japo kwa sasa sio chaguo la kwanza kwa kocha Miloud Hamdi
Ikangalombo ametua Yanga katika dirisha dogo msimu huu na taratibu tayari ameanza kuonyesha thamani yake katika kikosi cha Wananchi
Tunawatakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwao
ADVERTISE HERE