Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Shaban Kamwe
Kamwe almaarufu Mwenyekiti wa Wasemaji wa klabu Tanzania, amefanya mageuzi makubwa kwa kukifanya kitengo cha Habari Yanga kuwa miongoni mwa vyanzo vikubwa vya mapato
Yanga kwa sasa ni miongoni mwa klabu zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube barani Afrika, ikiwa namba moja hapa Tanzania
Mapenzi yake kwa Yanga na misimamo yake wakati mwingine vimemletea changamoto
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY KAMWE...!
ADVERTISE HERE