Lema aongezwa benchi la ufundi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Apr 2025
Lema aongezwa benchi la ufundi Yanga

Klabu ya Yanga imemuongeza kocha mkuu wa Yanga Princess Edna Lema kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Jumatatu, April 07 katika uwanja wa KMC Complex

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema katika mpango wa kuwajengea uwezo zaidi makocha wote wanaozinoa klabu za Yanga, uongozi umeandaa program maalum kwa ajili ya makocha hao kutoka timu ya Wanawake na timu ya vijana

Kwa kuwa ligi kuu ya Wanawake imesimama kwa mwezi mmoja, hivyo ni fursa kwa Lema kushiriki program hiyo

Kamwe amesema Lema atakuwa sehemu ya benchi la ufundi katika mchezo dhidi ya Coastal Union ambapo atashiriki hatua zote za maandalizi kuelekea mchezo huo na atakaa kwenye benchi siku ya mechi

Lema anakwenda kuongeza ufundi kutoka kwenye benchi la kocha Miloud Hamdi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’